Teknolojia ya kiwango cha kimataifa

Kuza biashara
yako kidijitali.

Tunatengeneza Website, Web Apps, Mifumo ya POS na Digital Marketing inayovutia wateja na kuongeza mauzo.

Mtaalamu wa kidijitali akiwa amefurahi akiangalia simu
120+
Miradi Iliyokamilika
Wateja Walioridhika
98%
Kiwango cha kuridhika
Website Web Apps POS Marketing

Huduma Zetu Kuu

Suluhisho kamili za kidijitali kwa biashara, taasisi na mashirika yote.

Tengeneza Website

Website za kisasa, zenye kasi na zinazovutia wateja kwa biashara yako.

Web Apps

Web Applications zenye nguvu zinazorahisisha uendeshaji wa shughuli zako.

Mifumo ya POS

Mifumo ya mauzo na uhasibu inayorahisisha usimamizi wa biashara.

Digital Marketing

Matangazo ya mitandao ya kijamii, Google na mbinu za kisasa za kukuza biashara.

Kazi Tulizofanya

Baadhi ya miradi tuliyowatengenezea wateja wetu kwa ubora wa hali ya juu.

Website ya biashara tuliyotengeneza
Website

Duka la Mtandaoni

Website ya kisasa ya e-commerce yenye kasi, malipo na usimamizi rahisi wa bidhaa.

Mfumo wa POS tuliotengeneza
Mfumo wa POS

Mfumo wa Mauzo

POS yenye dashibodi ya mauzo, ripoti za moja kwa moja na udhibiti wa hifadhi ya bidhaa.

Web App tuliyotengeneza
Web App

App ya Huduma

Web App ya simu inayorahisisha kuagiza huduma na kufuatilia oda kwa wakati halisi.

Kwa Nini Utuchague?

Tunajitoa kuhakikisha biashara yako inakua kupitia teknolojia bora.

Haraka na Sahihi

Kazi zetu zinafanywa kwa ufanisi, ubora na ndani ya muda unaokubalika.

Ubunifu wa Kisasa

Suluhisho zenye mwonekano mzuri na matumizi rahisi kwa wateja wako.

Huduma ya Karibu

Tunawasiliana na wateja kwa karibu ili kuhakikisha wanapata wanachohitaji.

Wateja Wanasema Nini

Ushuhuda kutoka kwa wateja walioridhika na huduma zetu.

"Huduma yao ilikuwa ya haraka na website yetu imeonekana ya kitaalamu sana."

Neema M. Mfanyabiashara

"Mfumo wa POS uliotengenezwa na Lumbwa umetusaidia kusimamia mauzo kwa urahisi."

Joseph K. Mmiliki wa Duka

"Nimepata msaada mzuri sana kwenye digital marketing. Biashara imeanza kukua."

Rahma A. Mjasiriamali

Tayari kuanza?

Je, unahitaji website, mfumo wa POS, au huduma za matangazo? Tupo tayari kupeleka biashara yako hatua inayofuata.

Tuma WhatsApp Sasa